Ali kiba amejinyakulia tuzo ya a celebrity for charity

Mwanamuziki wa bongo fleva ali saleh maarufu ali kiba amejinyakulia tuzo ya a celebrity for charity katika mechi ya mchezo wa hisani huko jijini kampala Pamoja na kuwa mwanamuziki msanii huyo lakini pia ana kipaji cha soka na ndio maana amejishindia tuzo akiwa na nyota emmanuel okwi mshambuliaji wa zamani kutokea timu ya simba