ARSENAL IMETINGA HATUA YA ROBO FAINALI

 

Timu ya arsenal  imetinga hatua ya robo fainali katika kombe la fa baada ya kuwafunga sutton united kwa magoli mawili kwa bila

Huko ethad city ina kibarua dhidi ya monaco ya ufaransa, katika dimba la bay arena bayer leverkusen wenyeji dhidi ya atlatico madrid kwa