ASASI ZA KIRAIYA KUWAELIMISHA WANANCHI KUHUSU UTEKELEZAJI WA SERA NA SHERIA

 

 

Asasi za kiraiya zimesisitizwa kuendelea kuwaelimisha wananchi kuhusu utekelezaji wa sera na sheria kwa maendelo yao.

Wito huo umetolewa na mjumbe wa kamati tendaji pemba bibi semeni ali khamis wakati alipokua akifungua mkutano kwa washiriki wa mkutano huo katika ukumbi wa maktaba kuu chake chake pemba

Amesema lengo la asasi ni kukuza ushiriki kwa wananchi juu ya mambo  mbali mbali yakiwemo sera  na sheria utawala bora pamoja na serikali za mtaa.

Kwa upande wake nd  khatib hajisaid amezitaka jumuiya hizo kutoa elimu zaid kwa wananchi katika utowaji na utekelezaji wa sera hiyo kwa jamii.

Kwa upande wa washiriki katika mkutano huo wamesema