Monday, April 23, 2018
ZANZIBAR BROADCASTING CORPORATION

ZANZIBAR BROADCASTING CORPORATION

  • mwanzo
  • kitaifa
  • kimataifa
  • biashara
  • burudani na michezo
  • hali ya hewa
  • Wasiliana nasi
  • zaidi
    • ratiba
    • Watangazaji wa TV
    • Kuhusu ZBC

Author: subira ame

HABARI ZA KITAIFA 

KUONGEZEKA KWA UCHUMI WA ZANZIBAR KUTOA FURSA ZA AJIRA

24/05/2017 subira ame

  Kuwepo kwa mradi mkubwa wa ujenzi wa nyumba za kuishi katika maeneo huru ya uchumi fumba kutawezesha kuongezeka kwa

Soma Zaid
HABARI ZA KITAIFA 

MAFUNZO KWA MAHUJAJI WANAOTARAJIWA KWENDA MAKKA

24/05/2017 subira ame

  Jumuiya ya maimamu  kwa kushirikiana na  jumuiya ya ahlaldawa na tahfidhu quan zbar, wameanza kutoa mafunzo  kwa mahujaji wanaotarajiwa

Soma Zaid
HABARI ZA KIMATAIFA 

WATU 19 WAUAWA KWENYE MLIPUKO MANCHESTER

24/05/2017 subira ame

  Polisi nchini uingereza wanasema watu wasiopungua 19 wameuawa na wengine 59 kujeruhiwa kwenye mlipuko uliotokea mwishoni mwa tamasha la

Soma Zaid
HABARI ZA BIASHARA 

ZRB KUKAMATA BIDHAA ZA SUKARI NA MAFUTA KWA NJIA MAGENDO

24/05/2017 subira ame

  Bodi ya mapato zanzibar zrb imefanikiwa kukamata bidhaa za sukari na mafuta ya kupikia zilizokuwa zikitaka kusafirishwa kwa njia

Soma Zaid
HABARI ZA BURUDANI NA MICHEZO 

BINGWA AMEJULIKANA AMBAYE NI CHELESA VITA YA KUWANIA NAFASI YA NNE

15/05/2017 subira ame

  Wakati ligi kuu soka nchini uingereza ikielekea ukingoni na bingwa tayari amejulikana ambaye ni chelesa  vita ya kuwania nafasi

Soma Zaid
HABARI ZA KIMATAIFA 

WHO KUCHUKUA TAHADHARI KUZIMA MLIPUKO WA UGONJWA HATARI WA EBOLA

15/05/2017 subira ame

  Shirika la afya duniani, who limeahidi kuchukua hatua za tahadhari na haraka za ili kuzima mlipuko wa ugonjwa hatari

Soma Zaid
HABARI ZA KIMATAIFA 

TRUMP ANATAKA VIKWAZO ZAIDI KWA KOREA KASKAZINI

15/05/2017 subira ame

  Rais wa marekani  Donald Trump ametoa wito kwa korea kaskazini kuwekewa vikwazo vikali zaidi baada ya jaribio lake la

Soma Zaid
HABARI ZA KIMATAIFA 

MACRON AAPISHWA KUONGOZA UFARANSA

15/05/2017 subira ame

  Rais mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron ameapishwa kuwa rais wa mjini Paris. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 39

Soma Zaid
HABARI ZA KITAIFA 

USHIRIKI MZURI KATIKA HARAKATI ZA MAANDALIZI YA IJITIMAI YA KIMATAIFA

15/05/2017 subira ame

    waumini wa dini ya kiislam wamepongezwa kwa ushiriki mzuri katika harakati za maandalizi ya ijitimai ya kimataifa inayotarajiwa

Soma Zaid
HABARI ZA KITAIFA 

ZSSF UMEFANYA UKAGUZI WA HATUA ZA UJENZI WA KATIKA JUMBA LA TRENI

15/05/2017 subira ame

  Uongozi wa zssf umefanya ukaguzi wa hatua za ujenzi wa mradi wa nyumba ya biashara katika  jumba la treni

Soma Zaid
  • ← Nyuma

ZILOSOMWA SANA

RAMADHAN SHAABAN CHANDE (MZEE NYALILI) AMEFARIKI DUNIA

WANANCHI KUVAMIA MAENEO YA CHUO CHA KIISLAMU KWA SHUGHULI ZAO BINAFSI.

WANAWAKE WAMETAKIWA KULICHUKULIA KWA UZITO SUALA LA KUCHUNGUZA AFYA MAPEMA

VIJANA WA MKOA KUSINI KUTOTOSHEKA NA ELIMU

SAYANSI BAHARINI KUZIDISHA JUHUDI KATIKA KUFANYA TAFITI

SEREKALI INAANDAA MPANGO WA KUWAWEZESHA WAKALA WA UCHAPAJI

(ZBC) KUWEKA MIKAKATI IMARA YA KUSOGEZA MAENDELEO YA VYOMBO

WALIMU WA SKULI YA BUBUBU WAMETAKIWA KUFANYAKAZI KWA BIDII

KUMEKUWA NA ONGEZEKO KUBWA LA WAGONJWA WA AKILI HAPA ZANZIBAR

WAKULIMA WAMELAUMU UWAMUZI ULIOCHUKULIWA WA KUPITISHA BOMBA LA MAJI

Karume House, P O Box 314 Zanzibar Tanzania

Phone : +255 (0) 24 233 0000

Fax. No. +255 (0) 24 233 000

Email : info@zbc.co.tz

Email :marketing@zbc.co.tz

Waliotembelea Tovuti ya ZBC

  • 116823Jumla ya Waliotembelea:
  • 37Waliotembelea Leo:
  • 4694Waliotembelea wiki ilopita:
  • 14521Waliotembelea kwa Mwezi:
  • 4Waliokuepo hewani muda huu:

KUHUSU ZBC

Television Zanzibar, the first colour television south of Sahara, is a state owned broadcasting station which produces and transmits development oriented programs.
Soma Zaidi

Copyright © 2018 ZANZIBAR BROADCASTING CORPORATION. All rights reserved.