BAADHI YA WAFANYAKAZI WA TRA NA ZRB WANAREJESHA NYUMA JUHUDI ZA SERIKALI

 

Waziri wa Fedha na mipango dk. Khalid Salum Mohamed amesema licha ya kuongezeka ukusanyaji wa mapato ya serikali bado kuna baadhi ya wafanyakazi wa mamlaka za ukusanyaji kodi za tra na zrb wanarejesha nyuma juhudi hizo na kujali maslahi binafsi.