BALOZI WA OMAN AMESEMA ATAENDELEZA UHUSIANO ULIOPO KATI YA ZANZIBAR NCHI YA OMANI

 

Balozi wa nchi ya oman aliyekuwepo  zanzibar dr amhed hamood al-habsi amesema ataendeleza uhusiano uliopo kati ya zanzibar nchi ya omani kwa kuweza kusaidia sekta ya afya  elimu pamoja na kuwezakutoa nafasi mbali mbli za masomo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.

Akizungumza na wanafunzi  wa chuo kikuu cha zanzibar lilichopo tunguu hapo ofisini kwake migombani   balozi al habsi   amesema zanzibar inauhusiano mkubwa wa undugu ukilinganisha  na  nchi nyengine kama historia   inavyoonyesha  kutokana na madhr iliyopo.

Amesema uhusiano  wa watu wa zanzbar upotofauti wa peekee kwani wameweza kuunganisha familia ambazo wanaishi hapa  naomani hivyo wataendeleza mahusiano hayo.

Mkuu waidara ya uhusiano ya kitaifa ndg saleh mohammed ameuomba ubalozi huo kuimarisha zaidi uhusiano huo kwa kuwapatia fursa  za masomo ya kwenda na kurudi kwalengo la kujifunza kwa kubalilishana uzoefu kwa kutumia vitendo zaidi ili kukuzasekta ya elimu nchini.

Akitoa shukurani zake  mwalimu wa masomo ya mahusiano ya kimataifa nadiplomasia ndg mohammed yusuf amesema wapo tarari kuimarisha somo  lakiarabu ili wanafunzi hao wawezekuelewa vyema lugha hiyo wakati wa ziara  zakimasomo zitakapotoka nakuelewa mila nadeturi ya nchi hiyo