BAMBI WAMEONESHAUMAHIRI WAO

 

Vijana wa wadi ya bambi wameoneshaumahiri wao katika kusukuma baiskeli,wakiwa katika mashindano maalum ya kusherekea mapinduzi ya zanzibar