BARABARA PEMBA KUFANYIWA MATENGENEZO

 

Bodi ya mfuko wa bara bara zanzibar  imetembelea bara bara mbali mbali kisiwani  pemba ambazo zinatarajiwa kufanyiwa matengenezo  kupitia mfuko huo.

Akitoa maelezo ya matengenezo ya barabara hizo mwenyekiti wa mfuko wa bara bara nd mwalimu haji ameir amesema lengo la kutembelea bara bara hizo ni kuangalia utekelezaji pamoja na kufanyiwa tathmini halisi ya barabara  ambazo zinatarajiwa kujegwa kupitia bajeti inayokuja.

Nae mkurugenzi wa baraza la mji mkoani rashid abdallah ameitaka serikali kupitia mfuko wa bodi kuipa kipao mbele bara bara ya mbuguwani tirono kwani bara bara hiyo inatumika kwa shughuli mbali mbali za kiuchumi hususan kwa msimu wa zao la karafuu

Kwa upande wakemkurugenzi mtendaji mfuko wa bara bara ng mwalimu ali mwalim amesema…..

Miongoni mwa bara bara walizotembelea ni pamoja na kuyuni ngomeni barabara soko kongwe la  skuli ya ng,omeni bara bara ya msitu wa ngezi pamoja na  daraja la jaalani kukagua juhudi za utendaji zilizochukuliwa .