BARAZA LA MAZNISPAA LINAENDELEA NA UEKAJI WA TAA ZA BARABARANI KWA ULAZAJI WA WAYA

Baraza la maznispaa zanzibar ilinaendelea na uekaji wa taa za barabarani kwa kuchimba misingi na ulazaji wa waya katika maeneo ya magereza hadi jangombe denjer.
Akizungumza mara baada ya kukagua shughuli za ulazaji wa waya hizo mkurugenzi wa baraza la manispa mjini aboud hasan serenge amesema lengo la uekaji huo ni kuimarisha ubora wa mjini pamoja na kupounguza vitendo vya uhalifu vilivyo shamiri katika maeneo hayo.
Mkurugenzi serenge amesema ni vyema kwa wananchi kutoa mashirikiano ya kutosha kwa kuzilinda ili zisiweze kuharibiwa katika kipindi kifupi ambapo pia utaweza kukuza maendeleo ya kijamii na kukuza uchumi .
Baadhi ya wananchi waliopo karibu na bararbara wameipingeza hatua ya serekali ya kurejesha tena taa izo ambazo zilikuepo hapo awali na kusema kutendeleza kipato kwa wafanya biashara wadogo wadogo mbao waluikuan wakifunga biasdhara zao jmapema kutokana na tyatizo la kliza
Shughuli hizo la ulazaji wa waya kwa ajili ya uekaji wa taa za barabrani zitagharimu zaidi ya milioni thalathini hadi kumalizika kwake.