BARAZA LA MJI CHAKE CHAKE LIMEKABIDHI VIKALIO VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI SITA NA LAKI TANO

Baraza la mji chake chake limekabidhi vikalio vyenye thamani ya shilingi milioni sita na laki tano kutoka mfuko wa jimbo la wawi kwa skuli ya maandalizi ya kiislam iliyopo machomane chake chake pemba.