BARAZA LA VIJANA ZIMEWAOMBA TASISI ZA SERIKALI KUWASHIRIKISHA KATIKA NAFASI ZA UONGOZI

 

Baraza la vijana  zimewaomba  tasisi za serikali na sekta binafsi  kuwashirikisha katika   nafasi mbali mbali za uongozi pamoja na kutoa maamuzi ili kweza kutatua matatizo yaliyopo. Mwenyekiti  wa baraza la  vijana  zanzibar  ndugu   khamisi  rashid   amesema  vijana ndio tengemeo la  taifa kwa sasa vijana  wengi   wanamaliza  masomo yao  hawana ajira hivyo wamewaomba  wizara za serikali   kushirikiana pamoja katika kutatua changamoto  zilizopo  na kuzipatia ufumbuzi .Aidha wameishukuru   serikali ya zanzibara  kwa kuwapa kipaumbele  vijana kwa  katika nguvu kaziKwa upande  wake   mwenyekiti   wa baraza la vijna   wilaya   ya mjini   ndugu bilali  hussen  maulid  amesema baraza la vijana linakabiliwa na matatizo  ya kutopata mwakilishi katika baraza la wakilishi  kw akuwatetea haki zao  za msingi .