BAYERN MUNICH IMETINGA HATUA YA ROBO FINALI

Bayern munich imetinga hatua ya robo finali baada ya kuilaza wolfsburg goli moja kwa bila mchezo wa kuwania kombe la ujerumani.
Bayern iliweza kupata bao moja pekee kupitia douglas costa dakika ya 18 katika kipindi cha kwanza .
Matokeo mengine ya kuwania kombe hilo hamburger imeifunga fc colm mabao 2 – 0.