BI SAMIRA SULTAN KUONEKANA KWENYE KARO BAADA YA KUFARIKI KWA MIAKA 2

Mtu mmoja ambae alisemekana amesafiri kiasi cha miaka miwili iliyopita samira sultan abdalla maarufu (kindi) mwenye umri wa miaka 56, mifupa inayofikiriwa kuwa ni ya mwili wake imepatikana kwenye karo ubavuni mwa nyumba aliyokuwa akiishi huko kiembesamaki.