BODI YA HOSPITALI BINAFSI IMEMALIZA ZOEZI LA UKAGUZI WA VITUO VYA AFYA

 

bodi ya hospitali binafsi imemaliza zoezi la ukaguzi wa vituo vya afya 20 ambapo kati ya hivyo samba imevifungia kutoa huduma kutokana na kasoro mbali mbali za uendeshaji.