DK. SHEIN AMEWATAKA WANACCM KUTEKELEZA DHAMIRA KATIKA SUALA ZIMA LA KUIMARISHA CHAMA CHAO

 

 

Makamu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (ccm) Zanzibar dk. Ali mohd shein amewataka wanaccm Katika tawi la fuoni michenzani kutekeleza dhamira ya Chama chao katika suala zima la kuimarisha chama na Kusisitiza kuwa ushindi wa ccm katika uchaguzi ujao  Wa mwaka 2020 hauna mbadala.