DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMEMJULIA HALI MUIGIZAJI MKONGWE KING MAJUTO

 

Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewajuliahali wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Tumaini Jijini Dar es Salaam akiwemomuigizaji mkongwe nchini Mzee Amri Athuman, maarufu kwajina la “King Majuto”.

Mhe. Rais Magufuli ambaye ameongozanana Mkewe Mhe. Mama Janeth Magufuli, amewajulia hali wagonjwa waliolazwa katika wodi namba 3 hadi namba 8 na baadaye akamuona King Majuto ambayeanaendelea kupata matibabu yatezidume.King Majuto amemshukuru Mhe. Rais Magufuli kwa kwenda hospitali kumuona naamempongeza kwanamna anavyosimamia huduma zaafya nchini, kwani tangu maradhi yalipomuanza amehudumi wavizuri na anamatumaini yakupona na kurejea katika majukumu ya keyakilasiku.Aidha, King Majuto amemuombea Mhe. Rais Magufuli iliaendelee kutekelezamajukumu yake yakuongoza nchi vizuri, na amebainisha kuwahatuazinazochukuli wana Serikali ya Awamu ya Tanozimerejesha nidhamu, zimeongeza uchapa kazi, zimesaidia kukabiliana na wizi na zimeongeza heshima ya nchi.