DR, JOHN POMBE MAGUFULI AMEWATAKA WATANZANIA KUWAAMINI VIONGOZI WAO

 

Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dr, John Pombe Magufuli amewataka watanzania kuwaamini viongozi wao akiwemo yeye na rais wa zanzibar dr, ali mohammed shein kwani wanamsimamo thabiti wa kuwatumikia.