GARI AINA YA FUSO LIMEPATA AJALI KWA KUIGONGA SKANIA LILILOBEBA KONTENA

 

 

Gari moja aina ya fuso  lenye  namba za usajili   260 ht  limepata  ajali kwa kuigonga   skania  lililobeba kontena  katika maeneo ya  amani viwanda vidogo vidogo

Gari  hilo  la fuso  likiwa limebeba mchanga  likitokea  welezo  liliigoga kwa nyuma gari hiyo na kuharibbika zaidi sehemu ya mbele  ambapo dereva wa  fuso alipata majeraha na kufikishwa hospitali

Baadhi ya mashuhuda  na  dereva  wa  gari la fuso ambalo  liligongwa  kwa nyuma  wamesema  chanzo  cha ajali hiyo

Akithibitisha kutokea kwa ajali hioyo  mkuu wa trafik  wilaya ya mjini  amewataka madereva  kuzingatia sheria za bararani wakati wanapokuwa katika mwendo ili kupunguza ajali  za mara kwa mara  zinazoweza kutokea