GULIONI IMEIADHIBU TIMU YA RASKAZONE MABAO 2- 0

 

Timu  ya soka ya  gulioni  imeiadhibu  timu  ya  raskazone  mabao  2-  0  katika  mzunguko  wa  ligi  daraja  la  pili uliochezwa katika kiwanja   cha  amani.

Mabao  ya   gulioni  yalitiwa  wavuni  na  mchezaji   ali  mbaruku  dakika  ya  22,  huku  mchezaji  abdallah  iddi  alifunga bao la pili dakika  ya  59  ya  kipindi  cha  pili  cha  mchezo  huo.

Mcheozo  huo  ulikuwa  wa  kusisimua  kiwanjani  hapo, hali  ambayo  imepelelekea   mashabiki   wengi  walihudhuria  kushindwa  kutulia  sehemu  zao.

Makocha  wa  timu  zote  mbili  walielezea  hisia  zao  juu  ya  mchezo  huo.