HALI YA BIASHARA YA SIMU NI MBAYA

 

Wafanya biashara wa simu za mkononi katika jijini la dar es salaam wamesema hali ya biashara ya simu ni mbaya ikilinganishwa na miaka miwili ya nyuma