IPA IMESHAURIWA KUENDELEA NA MFUMO WAKUTOA MAFUNZO

 

Chuo cha utawala wa umma ipa kimeshauriwa kuendelea na mfumo wakutoa mafunzo a wshiriki mabli mbali ili kuzidi kuwajengea uwezo wa kufanya kazi.

Ushauri huo umetolewa nawashiriki wa mafunzo ya diplomasia,usalama, na utatuzi wa migogoro katika jamii wamesema enddapo chuo hicho kitaendelea na mufu o huo kutawadsaidia watumishi kujua majukumu yao katika nchi sambamba na kuwa wazalendo.

Wamefahamisha kuwa mafunzo hayo yamewasaidia kujua mambo kuhimu kaika nchji kiwemo suala la kushushwa na kupoandisha pendera na  wakati wa honi inapopigwa kuwa mtu anakwatikwa kusimama kwa kutii vitu hivyo.

Mwezeshaji wa mafunzo hayo lusi shule lengo kuu la kutoa mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo zaidi watumishi wa serikali, sekta binasfi na wanafunzi katika suala la uzalendo wa nchi yao.

Akifunga mafunzo hayo mkurugenzi wa chuo cha ipa bia harusi masheko amewataka washiriki kuyatumia mafunzo hayo kama ilivyokusudiwa sambamba na kuto vyeti kwa washiriki.