JAMII NCHINI WAMETAKIWA KUTO WAFICHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA MIGUUU

 

 

Jamii nchini wametakiwa  kuto waficha watoto  wenye ulemavu wa miguuu  rungu nchini  ili kueka rasilimali ya baadae kwa kupata nguvu kazxi kazi yenye tija

Akizungumza na    wazazi wenye watoto walizaliwa na  miguu  rungu ikiwa ni mazimisho ya  siku ya miguu rungu duniani   kaimu mkurugenzi  wa hospilali ya mnazi  mmoja dr abrahmani saidi huko katika viwanja vya mnazi mmoja .

Amesema miongoni mwa haki ya mtoto ni kumpatia matibabu   ambayo  yataweza kumletea  faraja  katika jamii  ikiwa ni pamoja  ikiwa ni pamoja kuongeza nguvu kazi  na kukuza chumi  wa zanzibar ina  taifa kwa ujumla .

Akisoma  risala  ya wagonjwa wa miguu rungu  fatma juma omar na  program meneja wa watu wenye miguu rungu dk salum seif wamesema bado kuna changamoto mbalimbali m katika utibabu wa matibabu hayo ikiwa na uhaba wa  matabibu  wa raradhi hayo

Baadhi ya wazazi  waliokuwa na watoto wenye matatizo hayo  wameishukuru jumuiya ya zanzibar out reach program  na hospitali ya mnazi mmoja kwa kuwa patia huduma  mzuri  na zisizo na usumbufu

Hospitali ya mnazi mmoja imeanza  kutoa matibabu yake ya  miguu rungu mwaka 2010 hadi sasa zaidi ya watoto miasaba wameshapatiwa matibabu na kupona kabisa ambapo   maazimisho hayo yalitanguliwa na kuwaona wawtoto hawo wakicheza mpira  siku ya miguu rungu duniani huazimishwa kila ifikapo tarehe sema