JESHI LA POLISI LINAMSHIKILIA ND. HASSANI ABOUD TALIB MAARUFU (KIRINGO)

 

 

Jeshi la  polisi mkoa wa mjini magharib, linamshikilia nd. Hassani aboud talib maarufu  (kiringo) kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 13.Akitoa taarifa ya kukamatwa mtuhumiwa huyo kwa kitendo vya udhalilishaji, kamanda wa polisi mkoa mjini magharibi rpc hassan nassir ali, amesema kuwa mtuhumiwa huyo ni  mtumishi wa bodi ya mapato tanzania tra.

Kamanda nassir, amsema mtuhumiwa amekamatwa jana katika uwanja wa ndege wa zanzibar akijaandaa kusafiri kuelekea mwanza kikazi.Kiringo amekuwa akishutumiwa  kwa makosa mbalimbli ya kulawiti  watoto   wa kiume na mara kadhaa wanachi wamekuwa wakilalamikia kwa kuharibiwa vijana wao na mtuhumiwa huyo.