JITIHADA ZA PAMOJA ZINAHITAJIKA KATIKA KUKABILINA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI

Jitihada za pamoja zinahitajika kati ya jamii na wadau mbalimbali katika kukabilina na mabadiliko ya tabia nchi hapa zanzibar ili kufikia wakati kunusuru mabadiliko hayo yasiendelee kutokea.
Mkurugenzi idara ya misitu na mali asili zisizorejesheka sudi juma akizungumza katika mafunzo ya mradi wa kuhimili mabadiliko ya tabia nchi gcf amesema licha ya serikali kuchukua juhudi za mikakati ya kupamaba na mabadiliko hayo lakini kumekuwa na ushiriki modgo wa wananchi juu ya athari za mabadiliko hayo.
Sudi amesema kuwa karibu nchi mablimbali duniani zinakabiliwa na changamoto moto ya atahari ya mabadiliko na kusababisha hasara kubwa katika maeneo ya kilimo. Watalii, na mabonde.
Mwenyekiti wa jumuiko la kupambana na athari za mabadiliko ya tabia nchi zacca amina yussufa amesema lengo kuu la mafunzo hayo ni kutambua uhumimu wa atahari za mabadiliko ya tabia nchi kwa jamii.
Mafunzo hayo ya siku tatu yamewashirikisha wadu mbalimbali yakitolewa na mufunzi morek soanes