JUHUDI ZINAHITAJIKA KATIKA KUFUATWA TARATIBU ZA KUANIKA ZAO LA KARAFUU

Mkuu wa mkoa wa kaskazini pemba mh omar khamis othman amesema kunahitajika kutiliwa mkazo zaidi katika kufuatwa taratibu za kuanika zao la karafuu ili kutopoteza viwango vinavyohitajika katika soko la kimataifa.