JUMUIYA ISIOKUA YA KISERIKALI YA BIWO IKISHIRIKIANA KIKOSI CHA CHUO CHA MAFUNZO WAMESHIRIKI KATIKA KAZI YA UPANDAJI MITI

 

 

Jumuiya isiokua ya kiserikali ya  biwo ikishirikiana  kikosi cha chuo chaMafunzo wameshiriki katika kazi ya upandaji miti katika mashamba ya chuo cha mafunzo zanzibar yaliopo maeneo ya kinu moshi ambapo kazi hiyo imeambatana na siku ya mazingira  duniani pamoja na siku ya mtoto wa afrika inayo tarajiwa kutimia kilele chake hivi karibuniAwali mkuu wakikosi wa chuo cha mafunzo kamishna ali abdalah aliAmeipongeza jumuiya hiyo  kwa kukubali kushirikiana  na kikosi chake Katika kuendeleza suala la kutunza mazingira  hivyo ameishauri jamiiKuwacha vitendo  vya kuharibu mzingira na badala yake kuiga mfano wa jumuiya ya biwo ili  kuiweka zanzibar salama na yenye mazingira mazuriAidha ameiomba jamii  kuwa macho  na kuwatunza watoto kwa kuwapatia elimu pamoja na kuwashirikisha katika shuhuli mbalimbali za kimaendeleo ili kufahamu na kuziendeleza kaziwatazoachiwa  na wazee wao wakati utakapofikaKwa upande wake makamo mwenyekiti wa jumuiya ya biwo  ndugu mwanamosi ali mwinchande  amelipongeza jeshi la kikosi cha mafunzo  nakuahidi  kungana nao wakati wowote katika kazi  mbalimali za kijamii ili kulisaidia taifa letu