JUMUIYA ZISIZO ZA KISERIKALI KUFANYA KAZI AMBAZO WAMERUHUSIWA KWA MUJIBU WA KATIBA

 

 

Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amezitaka jumuiya zisizo za kiserikali nchini kufanya kazi ambazo wameruhusiwa kwa mujibu wa katiba zinazoongoza jumuiya zao.

Kauli hiyo ya makamu wa rais ameitoa wakati akizungumza na uongozi wa jumuiya ya walimu wa madrasa wanaopinga vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia.