KAKA WA KIONGOZI WA KOREA KASKAZINI AUAWA MALAYSIA

 

Kaka mkubwa wa kiongozi wa korea kaskazini kim jong-un ameuawa nchini malaysia.

kwa mujibu wa vyombo vya habari vya korea kusini vinaeleza kuwa kim jong ameuwawa katika uwanja wa ndege wa kuala lumpur nchini malaysia baada ya kupewa sumu na watu wanaoaminika kuwa majasusi wa korea kaskazini.

afisa wa polisi ya malaysia amesema bado sababu ya kifo cha mtu huyo haijathibitishwa.