KINA MAMA KUJISHUGHULISHA NA BIASHARA KUACHA TABIA YA KUTAKA AJIRA SERIKALINI

 

Kina mama wametakiwa  kujishughulisha na biashara nakuacha tabia ya  kutaka kupatiwa ajira serikalini.

akizungumza na zbc  wafanya biashara tofauti katika soko la njia nne  wilaya ya kilwa  wamesema  sio lazima kupata ajira serikalini bali wao wanajali kupata kazi ili kuendesha maisha yao.

Hata hiyo wameiomba serikali kuwapatia mkopo ili kujiimarisha zaidi kiuchumi.

bi  khadija amiri mfanya biashara wa mama ntilie katika soko hilo ameelezea kwa kina juu ya biashara yake na jinsi anavyo endeleza familia yake