KOREA KASKAZINI YAFYATUA KOMBORA JINGINE

Korea ya Kaskazini imefanya jaribio la kombora kuelekea katika Bahari ya Japan.

Kwa mujibu wa Korea Kusini, kombora hilo limesafiri umbali wa Kilometa 450 IKIWA NI JARIBIO LA tatu KUFANYWA katika muda wa wiki tatu.

Japan imelaani jaribio hilo AMBAPO Waziri Mkuu wa NCHI HIYO  Shinzo Abe ameapa kuchukua hatua kali dhidi ya Korea Kaskazini, akishirikiana na Marekani.

.