KOREA YA KUSINI LIMEFANYA ZOEZI LA KIJESHI

Nahuko korea ya kusini wakati yakijiri hayo,vikosi vya jeshi vya marekani na korea kusini navyo vilifanya zoezi la kijeshi kwa pamoja ambapo makombora kadhaa yalilipuliwa na wizara ya ulinzi kutangaza kuwa silaha maalumu zitawekwa nchini humo kwa kujihami na shambulizi lolote kutoka korea ya kaskazini.
vifaa vingine vilivyoonyeshwa katika zoezi hilo ni meli maalumu za kubeba ndege za kivita vimechukuliwa kama hatua ya kuionya korea ya kaskazini.