KUANZISHWA KWA TAASISI YA UTAFITI WA MFUGO NI MIONGONI MWA MIKAKATI YA KUIREJESHA ZANZIBAR

 

Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi dk. Ali mohamed shein amesema kuanzishwa kwa taasisi ya utafiti wa mfugo ni miongoni mwa mikakati ya kuirejesha zanzibar katika uasili wake wa kuwa na taasisi hiyo katika ukanda wa afrika ya mashariki kama ilivyokuwa siku za nyumba.