KUIMARIKA SEHEMU ZA USAFIRI NDIO NI SABABU KUU YA KUKUZA MAENDLEO

Waziri wa nchi afisi ya makamo wa Pili wa Rais mh Mohamed Aboud Mohamed amesema kuimarika kwa sehemu za usafiri katika nchi ndio ni sababu kuu ya kukuza maendleo na kuachana na utegemezi .
Akifungua jengo la wafanyakazi wa bandari mkoa wakaskazini unguja huko mkokotoni ikiwa ni sharashamra za serehekea miaka 54 za mapinguzi matukufu ya zanzibar.
Mh aboud amesema kuboreshwa bandari ikiwemo ya mpiga duri ya malindi maendeleo hivyo ni vyema kutekeleza malengo ya chama cha mapinduzi na kutokeuka ilani ambapo vyombo vya usalama usimamia kwa uadilifu na umakini zaidi.
Waziri wa ujenzi na usafirishaji mh balozi ali karume amesema zanzibar matimizi makubwa ya kimaendeleo ya kusafiriosha watu na bidha kwa hali ya usalama .
Mkuu wa mkoa wa kaskazini unguja vuai mwinyi na katibu mkuu wa wizara ya mawasiliano na usafirishajini ustafa aboud jumbe wamesema serekali ya mapinduzi ya zanzibar ipo kwa ajiliya kuwatumikia wananchi ili kuondokana na tatizo la ajira ambapo wizara hiyo pia imekusudia kujenga eneo la gati katika bandari ya mkokotoni na kupunguza usubufu wananchi wake
Jengo hilo la wa wafanyakazi wa badari ya mkokotoni limegharimu zaidi ya shiling milioni 378 mbapo pamoja na kazi zake ni kushuhulikia bidhaa zinazoingia na kutoka na pamija na abiria kutoka tumbatu na na maeneo jirani