KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA MUHIMU

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi dk. Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na balozi wa brazil nchini tanzania Carlos Alfonso Iglesias Puente ambapo wamekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta muhimu za kiuchumi na kijamii ikiwemo biashara ya viungo.