KUIPUNGUZIA SERIKALI MZINGO WA KUSAFIRISHA WAGONJWA KWENDA NJE YA NCHI.

Mkurugenzi mtendaji wa tasakhtaa hospita tawifik  turky amesema kuwepo kwa mashirikiano  baina ya  hospitali za binafsi na serikali kutaweza kuipunguzi serikali mzingo wa kusafirisha wagonjwa kwenda nje ya nchi.

Hayo ameyasema katika kongamano lasiku moja lililowajumuisha madaktari bingwa wa  viungo bandia kutoka tanzania bara na zanzibar.

Amesema hospitali tasakhataa imeaza kutoa huduma za ubasuaji wa  viungo bandia ambapo huduma hiyo ilikuwa ikiupatikana  nchini ndia na  serikali hulazimika kutumia fedha nyingi kwa kusafirisha wangonjwa  kupata matibabu hayo.

Nae professa kutoka hospital ya moyo dar salamu amesema upasua wa viungo bandia unatumia  gharama kubwa hivyo kuwepo kwa huduma hizo hapa tanzania kutaweza kupunguza hagarama za kusafirisha wagonjwa nje ya nchi.

Nae mshauri wa rais masuala ya afya dk mohamed jidawi amesema hospital ya mnazi mmoja iko tayari kushirikia na hospital  binafsi  katika kutoa  huduma mbalimbali za matibabu ili wananchi waweze kuzipata huduma za afya bila ya usumbufu wowote.