KUKABIDHIWA GARI YA KUBEBEA WAGONJWA AMBAYO ITASAIDIA KUONDOA TATIZO LA USAFIRI

Mbunge wa jimbo la chwaka mh bangwanj meisuria amekabidhi gari ya kubebea wagonjwa ambayo imegharimu jumla ya shilingi milioni kumi katika kijiji cha ukongoroni
Akikabidhi msaada huo amesema gari hiyo itasaidia kuondoa tatizo la usafiri wa kuwapeleka wagonjwa katika vituo vya afya
Wakizungumza na zbc wananchi wa kijiji cha ukongoroni wamemshukuru mbunge huyo na kusema wameridhishwa na ushirikiamo mzuri katiika kuondoa tatizo hilo la usafiri