KUKATWA MITI ILIYOATHIRIKA KWA MVUA ILI KUEPUSHA MAAFA KWA WANANCHI

Naibu waziri wa wizara ya nchi ofisi ya makamo wa pili wa rais mh. Mihayo juma mhnunga ameangiza kukatwa miti iliyoathirika kwa mvua ili kuepusha maafa kwa wananchi hasa wanaoishi katika maeneo ya milimani.mh. Mihayo ametowa agizo hilo mbuyuni katika ziara ya kuwatembelea wananchi waopatwa na maafa ya kuvunjika kwa nyumba zao kutokana na mvua za masika zilizonyesha na kuwambia wananchi haokuwa na subra kwani serikali bado inaendelea kufanya tathmini ya maafa hayo ili iweze kutoka mchango wake mh. Mihayo ameitumia fursa hiyo kuzitaka kamati za shehia kuandaa mikakati