KUKIJENGEA UWEZO CHUO CHA KISLAMU CHUKWANI NA KUTOA NAFASI ZA MASOMO NJE YA NCHI.

 

Taasisi inayoshughulikia  masuala ya elimu nama yenye makao makuu yake nchini malysia imesema iko tayari kutoa nguvu zake katika sekta ya elimu ya zbar kupitia nyanja mbalimbali  ikiwa ni pamoja na kukijengea uwezo chuo cha kislamu chukwani pamoja na kutoa nafasi za masom nje ya nchi.

Kauli hiyo imetolewa na mkurugenziwa taasisi  ya nama saleh baziyed aliyefika wizara ya elimu kujitambulisha  na kufanya mazunguzo yayoigusa sekta ya elimu nchiini . Amesema  kuna umuhimu mkubwa kwa sekta hyo ya elimu kuimarishwa katika kjengewa uwezo wa kitaaluma pamoja na kupatiwa nyezo .pause

akizungumza  kwa niaba ya katibu mkuu wizara ya elimu  bi madina mjaka mwinyi amesema ujio wa kutoka nchini malaysia ni fursa  adhimu kwao katka kuinua sekta ya elimu ili kuona inakuwa na kuimarika na kutoa fursa mbalimbali kwa vjana katika kujiajiri kupitia vyuo vya amali viliopo nchini.paused

Awali ugeni huo uliaanza ziara yake katika skuli ya alfalah muslm skuli ili kuona maendeleo ya skuli hiyo ikiwa wao ni wafadhili wakubwa  wa skuli hiyo na kuaahidi kujenga vyumb viwili vya kompyuta vya kisasa  na kuonana na uongozi wa skuli hiyona kutembelea uongozi wa chuo cha suza vuga.

Akielezea kuja kwa ugeni huo uliofanya iara ya siku moja mkurugenzi wa skuli ya alfalah muhidini zuberi amesema malengo makubwa kwa wadau ni kuona maemdeleo ya jumuia tano wanzowafadhili ikiwemo ukwemu inayohusiana na mambo ya eli mu