KULITAFUTIA UFUMBUZI TATIZO LA MAJI

 

 

Sasa watanyamaza kilio cha shida ya maji safi na salama kufuatia  kuanza juhudi za kulitafutia ufumbuzi tatizo la maji lililowakabili kwa kipindi kirefu wamesema tatizo  la maji katika eneo lao linatakuwa histori kwani ufumbuzi wake umeshapatikana  baada ya kupokea tank la  kuhifadhia maji yenye ujazo wa lita elf 10 na vifaa vyengine.

Wakizungumza na zbc wananchi hao wamesema kuchelewa kupatikana kwa   huduma hiyo ni kukosekana kwa matank 3 yenye ujazo wa lita elf10

ili yaweze kupandishwa katik mnara kwani tayari kisima kimesha chimbwa mda mrefu tokea uongozi uliopita,  puse

Akikabidhi vifaa hivyo kwa wanachi mbunge wa jimbo hilo mhe makame kassim amesema hivi sasa tatzo la maji katika visiwa vya zbar ni tatizo sugu  licha ya viongozi kukabiliana nalo ila wahitaji ni wengi na kutatua kwake ni kwaawamu hivyo amewataka wananchi kuona vifaa hivyo vinatunzwa bila ya kuhujumiwa  kwa miundo mbinu hiyo.  Pause

Nae naibu meya nakatibu wa jimbo wamesema uchu wa maendeleo hautoweza kufikiwa kama wanachi hawattokuwa na mashirikiano na viongozi wao kwani katika majimbo kuna changamoto nyingi zinazowakabili wananchi wakena kutatuliwa kwake kunahitaji masshirikiano.