KUPITISHWA KWA SHERIA YA KUANZISHA AFISI YA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR

Serikali imesema kupitishwa kwa sheria ya kuanzisha Afisi ya tume ya uchaguzi ya zanzibar kutawezesha Nchi kufanya uchaguzi kwa uimakini zaidi na kondoa
Kasoro zinazojitokeza wakati wa uchaguzi