KURUDISHA UHUSIANO KATI YA DW NA ZBC

 

Shirika la utagazaji zbc zanzibar  na shirika utangazaji  la idhaa ya kiswahili  dw  deutchewell la ujerumani  wamesema ipo haja ya kurudisha uhusiano  kati ya mashirika hayo ili kuhakikisha waandishi na watangazaji wana[pata fursa za somomo .

Akizungumza ofisini kwake  mnazimmoja waziri wahabari utalii na mambo yakale mh mahamoud thabiti kombo amesema   idhaa ya kiswahili ya  ujerumani dw deutchewell limekuwa likitoa taarifa nyingi muhimu kwa jamii  kwa lunga ya kiswahili  hivyo ipo haja ya kubadilishana ujuzi.

Amesema shirika la utangazaji limepiga hatua katika ulimwengu kwa kuweka mitambo ya kisasa  na muhimuwatendajiwabadilikekutokana namazingira yaliyopo sasa.

Mkuu wa  idhaa ya kiswahili ya ujerumani  dwdeutchelle bi andrea schmidk  amesema shirika hilo limekuwa likitoa matangazo yake  katika mashirika ya habari ulimwenguni  hivyo fursa za masomo zitakazotolewa ni vyema kuzitumia  na  kuwataka wandishi kuzingati akutoa taarifa za ukweli.