KUTOA TAKWIMU ZILIZOSAHIHI ILI KUWEZA KUTATHMINI MAMBO

 

Mtakwimu mkuu wa serikali  bi Mayasa Muhdhar Mwinyi amewataka wazalishaji wa watumiaji wa takwimu  kutoa takwimu  zilizosahihi ili kuweza  kutathmini  mambo mbali mbali  yakiwemo ya maendeleo