KUTOKAMILISHWA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA KIJIJI CHA CHARAWE

 

 

Wakazi wa charawe wamesema wameshindwa kuwahamasisha wanafunzi kusoma masomo ya sayansi kwa sababu ya kutokamilishwa miradi ya maendeleo katika kijiji hicho.