KUTOWA FURSA KUTAMBULIKA LUGHA KWA WATU WENYE ULEMAVU

 

Kamati ya baraza  la  wawakilishi   ya  kusimamia ofisi za viongozi wakuu wa serikali imeitaka  wizara  ya  elimu  kuhakikisha  inafundisha  lugha  ya  kwa  wanafunzi  ili  kutowa  fursa kutabulika  kwa  lugha  kwa  jamii

Kamati hiyo ambayo imeongozana na maafisa kutoka wizara  ya  elimu  pamoja  idara  ya  watu  wenye  ulemavu  katika  kuzitembelea  skuli  ambazo  zinasomeshwa  lugha  hiyo  wameitaka  idra  ya  elimu  kuhakikisha  wanapeleka  huduma  zote  stahili  katika  skuli  zenye  wanafunzi  wa  mahitaji  maalumu  ili  kwaondolea  usumbu  katika  masomo  yao.

Mwenyekiti  wa  watu  wenye  ulemavu  zanzibar  ndung  haidari  hasham  madoweya  amesema  wamefarijika  kwa  ujio  wa  kamati  hiyo  kwa  kuwa  itakuwa  sehemu  ya  kutatuwa  changamoto  zinazo  wakabili .

Nao  walimu   wa  skuli  ya  kitongani  na  kiungoni  mkunduchi  amesema  miongoni  mwa  changamoto  ambazo  zinawakabili  ni   pamoja  na  vyoo  vya  wanafunzi  wenye  ulemavu  pamoja  na  vifaa  vya  kuweza  kusomea   wanafunzi  wenye  maitaji  maalum  pamoja  na  uhaba  wa  majengo  wa  skuli  hiyo  na  uzio  katika  skuli  hizo  wameiomba  serikali  kupia  idara  husika  kuweza  kuzifanyia  kazi  changamoto  hizo  ili  kuwapa  fursa  wanafunzi  wenye  mahitaji  hayo..