KUTUMIA MACHINJIO YA WANYAMA YA DONGE NA MAHONDA KWA LENGO LA KULINDA AFYA ZA WALAJI.

 

Wafanyabiashara wa mifugo ya ngombe na mbuzi wa mkoa wa kaskazini unguja, wametakiwa kuyatumia machinjio ya wanyama ya donge na mahonda kwa lengo la kulinda afya za walaji.