Kuvamiwa shamba la matikiti

 

Kikosi cha chuo cha mafunzo pemba kimelaani kitendo kilichofanywa na watu wasiojulikana cha kuvamia shamba lao la matikiti liliopo tungamaa na kuyakata kata, zao ambalo hivi sasa lina soko kubwa kibiashara