KUVUNJA MARA MOJA MADUKA NA MAGETI YALIYOJENGWA KINYUME NA UTARATIBU

Mkurugenziwa manispaa ya magharib a nd said juma ahmada ametoa agizo kwa wananchi waliojenga ujenziwa maduka na mageti kinyume na utaratibu na kuifinya njia iliyokuwa ikipita gari kuanzia kianga mkadini hadi kutokea machui kutokupitika tena na kuamuru kuvunja mara moja kwani inawaletea usumbufu baadhi ya wananchi.
Agizo hilo amelitoa baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi na kufikia katika eneo hilo na kujionea mwenyewe na kusema kuwa licha ya maeneo hayo kutia x kwa kusitisha ujenzi lakini bado wananchi wamepuuza agizo hilo ambalo limeonyesha dharau kwa manispaa hiyo.
Aidha amefahamisha kuwa njia zilizokuwa asili ya kupita gari ama njia ya maji haziruhusiwi kujengwa kwani pakitokea madhaara yoyote yale iwe rahisi kupita gari bila ya usumbufu wowote hivyo amewatka wanachi hao kuzingatia sio sehemu zote zinahitajika kutiwa ukuta ni chanzo cha kuleta mafuriko ya mvua wakatiza mvua zikinyesha pause………
Nao wakaazi wa eneo hilo wamesema kabla ya kuhamia katika mtaahuo gari aina ya fuso zikipita katika njia hiyo lakini leo inawashangaza kwa wamiliki hao wakiambiwa wanasema ndo mpaka wa kiwanja chake ulipoishia wakati sio kweli pause
Nae nd nassoro matari anaelalamikiwa amekiri kufanya makosa na kuahidi i kuvunja ukuta wa duka lake ambapo kwa upnde wa diwani wa wadi ya kianga mkadini nd silemani abasi amesema agizo lilotolewa na mkurugenzi litafanyiwa kazi kwani ujenzi holela ndani ya wadi yake umekithir