KUWADHIBITI WAFANYA BIASHARA WANAOINGIZA VYAKULA VIBOVU

 

Naibu waziri Wa biashara na viwanda Mhe Hassani Ali hafidhi amelizindua baraza la biashara la mkoa lengo lake ni kuwadhibiti wafanya biashara ambao hawako waaminifu wanaoingiza vyakula vibovu nchini kinyume na utaratibu uliowekwa ili kuwalinda walaji

Akizindua baraza hilo katika ofisi ya mkoa Wa mjini magharib Mhe Hassani amesema hayuko tayari kuona wafanyabiashara haowanakwenda kinyume na taratibu za sheria zilizowekwa na kuahidi kuwanyanganya leseni wafanyabiashara hao kwa bile si waaminifu kwa vile ndie mwenye dhamana na wizara hiyo .

Aidha amefahisha kuwa wafanyabiashara hao kujitambua katika uboreshaji Wa bidhaa zaoili kuleta ushindani Wa kibiashara kwa lengo LA kukuza uchumi Wa nchi kwa vike chimbuko LA biashara limeanzia zbar .paused Katibu Wa baraza LA biashara bakari haji amesema dhumuni kubwa LA uwepo kwa baraza hilo kwa wajumbe walioteuliwa NI kuyafanyia kazi mapendekezo yanayotolewa na baraza hilo na kufanyiwa kazi ili mambo yanayowahusu wafanyabiashara yaweze kupatiwa ufumbuzi wake na kufikishwa setikalini

Mapema mwenyekiti Wa baraza hilola biashara NI mkuu wamkoamjini magjarib Mhe Ayoub MOHD mahamoud na wajumbe wake 12 amesema anaimani uwepo wake na kuweza kufanya kazi zake vizuri kwa sekta za binafs na umma ambalo litatatua kero mbali mbali

Akitoa malekezo ya kazi ya baraza NA majukumua yake mwanasheria kutokana afisi ya rais naidara maalum za smz bi zainab ameleza utekelezaji Wa kazi za baraza NI pamoja na kufuatilia