MADHIMISHO YA SIKU UTALII DUNIANI YAMETOWA FURSA KWA VIJANA

 

Madhimisho ya siku utalii duniani yametowa fursa kwa vijana kupata mafuzno ya kuweza kujiajiri katika sekta ya hiyo.

Kongamano la siku moja litakalotowa fursa kwa   vijana kujifunza fursa mbali mbali  za kiutalii zilizopo hapa nchin.

Akifunguwa kongamano hiyo  mwenyekiti wa kamisheni ya utalii ndungu sabahi saleh amesema kamisheni ya utalii imekuwa ikiwashirikisha watu mbali mbali katika kukuza na kuendeleza utali.

Aidhaamewata vijana watumie mafunzo hayo kuibuwavivutio vya utali vilivyopo hapa nchini kujipatia fursa za ajira.

Kwa upande wa katibu mtendaji baraza la vijana zanzibar ndugu khamis faraji abdalla amesema baraza la vijana litahakikisha linashirikiana na taasisi mbali mbali  kuweza kuendeleza na vijana na sekta za utalii.

Afisa habari kamisheni ya utalii zanzibar  amour mtumwa amewataka vijana kutumia mafunzo hayo kama fursa na kuweza kujipatia ajira na  kuutangaza utalii.

Afisa masoko wa kamisheni wa utalii ndugu khalfani ali moh’d amesemakongamano hilo lina mnasaba wa kuwashijihisha vijana kuingika katika soko la biashara ya utalii.

Amesema kamisheni hiyo ni jukumu lao kushajihisha vijabna pamoja na kuwapa elimu ya mtandao katika kutunza na na kuimarisha utalii.

Siku ya utalii duniani ilianza kuanzimishwa tokea mwaka 1980 katika mwezi wa septemba .maadhimisho ya siku ya utalii duniani yanafanyika katika mji budapest nchini hungry.