MAELFU YA RAIA JAMII YA ROHINGYA WAKIMBILIA BANGLADESH

 

 

maelfu ya wakimbizi wa jamii ya rohingya nchini Myanmar wamekimbilia nchi jirani ya bangladesh kutokana na mapigano ya kikabila na hali mbaya ya kibinadamu.    kwa mujibu wa mashirika ya misaada wakimbizi hao wanahitaji      misaada ya dharura ya kibinadamu ili kukabiliana na uhaba wa chakula.  mapigano mapya nchini Myanmar kati ya jamii hiyo na vikosi vya  serikali yameanza mwishoni mwa mwaka jana ambayo yanatishia  makubaliano yaliyofikiwa kati ya serikali na kundi hilo dogo la  warohingya.